Tume ya Uchaguzi Zanzibar imefuta Matokeo yote ya Uchaguzi mkuu Zanzibar.


Tume  ya  Uchaguzi  Zanzibar  imeufuta uchaguzi  mkuu wa  Zanzibar  kutokana  na  kuwa  na  dosari  nyingi  ikiwemo uchaguzi  kutokuwa  huru  na  wahaki

Mwenyekiti  wa  ZEC  ametoa  tangazo  hilo  kupitia shirika  la  utangazaji la  ZBC mchana  huu  kuwa  amechukua  maamuzi  hayo  baada  ya  kujiridhisha  kuwa  uchaguzi  uligubikwa  na  dosari  nyingi.

"Mimi nikiwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, nimeridhika kuwa Uchaguzi huu umegubikwa na makosa makubwa....

"Kwa mamlaka niliyonayo natangaza rasmi kuufuta uchaguzi huu kwa kuwa haukuwa huru na wa haki, mtajuulishwa tarehe itakayofanyika uchaguzi mwengine hapo baadae, Ahsanteni kwa kunisikiliza"! - Jecha S. Jecha, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
During its two year ru, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.

0 comments: